Jacky
Wolper a.k.a Wolper Gambe right about now yupo on road na ndinga yake
mpya “Mini Cooper”. Interesting issue kuhusu gari hili ni kwamba, kwa
nyuma chini ya plate number mwanadada katupia maandishi ya steel kabisa
kama yametoka kiwandani na gari lenyewe..yanasomeka “WOLPER GAMBE”
ambalo ni jina analotumia kwenye mitandao mingi ya kijamii. Upande wa
pili mpekuzi wa bongomovietz alivyomuuliza Wolper how much zimemtoka
kuvuta ndinga hiyo akasema siri yake..nikatafute kwenye internet. Basi
sawa.mtandao wa mini.co.za ambao ndio dealers wa Mini Cooper kusini mwa
jangwa la Sahara(Sub Sahara Mini official dealers) wameonyesha price ya
R233,462 kwa Mini Cooper yenye same look na ya Wolper tukizingatia
version ya gari husika..ambapo kwa pesa za madafu ni Tsh 42,012,236.If
so Wolper, we gat to hack your bank account…tuvute iyo michuzi na sisi.
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2024
-
Bofya Hapa kutazama matokeo
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2024
51 minutes ago
No comments:
Post a Comment