Wale
wakali wa burudani jijini Mbeya siku zote since day one, on to the next
one ni good time every Friday & Saturday. Ijumaa hii ya tarehe 3
Mei 2013 ni uzinduzi wa G12 Club zamani Nebana Pub pande za Soweto ndani
ya Mbeya. Ijumaa hii na Jumamosi na nyingine zote katika kuhakikisha
unapata burudani uliyoikosa kwa muda mrefu na umekuwa ukijiuliza
utaipata lini, Sasa majibu ya maswali yako yamepatikana kwa kupata
burudani kali ndani ya G12 Club zamani Nebana Pub Soweto Mbeya kila
Ijumaa na Jumamosi. Anashuka Dj Zero wa XXL na Dj 2 Short wa Amplifaya
kutoka Clouds FM The People's Station Dar es salaam huku wakiwa na
mwenyeji wao Dj Imma kutoka jijini Mbeya. Ni kuanzia saa 3 usiku mpaka
dawn Kwa kiingilio cha shilingi 5,000 tu. Uzinduzi wa G12 Club zamani
Nebana Pub Ni Ijumaa Hii ya tarehe 3/5/2013 ---Hapa Dj 2 Short Na Dj
Zero kutoka Clouds FM na mwenyeji Dj Imma kutoka Mbeya - Here's where
the party runs into your big vein...Usikose!!!
UBIA WA BARRICK NA TWIGA WACHOCHEA UTENGENEZAJI ENDELEVU WA THAMANI KATIKA
UCHUMI WA TANZANIA
-
Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika
mkutano na waandishi wa habari
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment