Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Linus Sinzumwa akitoa taarifa ya matukio mbalimbali ikiwemo la mama mzazi kumuuawa mtoto wake mwenye umri wa mwezi moja na nusu kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha).
Afisa upelelezi wa makosa ya jinai (RCO) mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka (wa kwanza kulia) akifuatilia taarifa ya mauaji iliyokuwa ikitolewa na kamanda wa polisi mkoa wa Singida,Linus Sinzumwa (hayupo pichani).
 
Askari Kanzu akiwa anampeleka kijana anayedaiwakuwa ni kibaka anayetuhumiwa  kuiba simu ya kinganjani katika duka lililopo mtaa wa Utemini mjini Singida. Mfuko alioushikila una simu anayodaiwa kuiba.(Picha zote na Nathaniel Limu).