ANGALIA PICHA ZA MAANDALIZI YA MSIBA WA NGWEA YAANZA MBENZI JIJINI DAR
MAOMBOLEZO
ya msiba wa aliyekuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, marehemu Albert
Mangwea, yameanza nyumbanmi kwa baba yake mdogo, Mbezi Beach jijini Dar
es Salaam ambako jana jioni ndugu, jamaa na majirani walikutwa wakiwa
katika matayarisho ya kuupokea mwili wa marehemu.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment