Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 24, 2013

ANGALIA PICHA ZA MAZISHI YA MWANDISHI MAARUFU WA VITABU NCHINI NIGERIA,CHINUA ACHEBE ALIVYOZIKWA JANA

RIP Chinua Achebe..nakikumbuka kitabu cha 'Things Fall Apart'

Mmoja wa waombelezaji ambaye ni muuzaji wa vitabu hapo Nigeria
Raisi wa Nigeria na Raisi wa Ghana wakiwapungia waombolezaji
Jeneza lilibeba mwili wa marehemu Chinua Achebe
Raisi wa Nigeria Goddlucky Jonathan
 Mke wa Marehemu Christie Achebe

No comments:

Post a Comment