Waziri wa
Afrika Mashariki Mh Samweli Sitta Akiwa Bungeni leo amelaani vikali
gazeti moja kutoka nchi ya jirani kwa kuruhusu picha hapo juu ambayo
imelidhalilisha bunge la tanzania.Mh Sitta ametoa kauli hiyo asubuhii
wakatia akisoma hotuba ya bajeti ya wizara ya afrika mashariki kwa mwaka
2013/2014.
Mh Sitta
amesema pamoja na bunge kuwa na mjadala mkali lakini siyo sahihi
kulidhalilisha bunge la tanzania kwa namna hii na kusema huenda picha
hii ikachochea vurugu na majirani zake.Picha hiyo ilichapishwa katika
gazeti moja kutoka kwa majirani zetu siku za karibuni
No comments:
Post a Comment