Kamanda
wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kova amesema Taarifa
zilizoenea kwamba Bomu limelipuka katika Kanisa la Kilutheri la Kiinjili
Tanzania (KKKT), Kunduchi jijini Dar es Salaam zimeenea ndivyo sivyo na
kwamba askari walikuwa wanapambana na majambazi.
Wakati
taarifa zikiwa zimesambaa katika mitandao ya kijamii na mitaani kwamba
kuna kanisa la KKKT limeshambuliwa na bomu hivi punde, Kamanda wa Polisi
Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kova amesema kwamba taarifa hizo sio za
kweli na kwamba askari wa jeshi la polisi walikuwa wanapambana na
majambazi karibu na eneo la kanisa hilo.
No comments:
Post a Comment