Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 15, 2013

MKUTANO WA MAJESHI YA POLISI KUSINI MWA AFRIKA SARPCCO WAFANYIKA LEO

 

1 
Baadhi ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za SADC wakiimba wimbo wa umoja huo katika mkutano wa mwaka wa  kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka.(Picha na Frank Geofary-Jeshi la Polisi)2 
Baadhi ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za SADC wakiimba wimbo wa umoja huo katika mkutano wa mwaka wa  kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka.(Picha na Frank Geofary-Jeshi la Polisi)3 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema akizungumza katika mkutano wa mwaka wa  kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka.(Picha na Frank Geofary-Jeshi la Polisi)4 
Katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil akizungumza katika hafla fupi ya kufungua mkutano wa mwaka wa  kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka.(Picha na Frank Geofary-Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment