RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA SAYANSI KATIKA KITUO CHA TAASISI YA KIMATAIFA YA KILIMO CHA TROPIKI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima
wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee
Benjamin William Mkapa wakizindua rasmi jengo la sayansi katika kituo
cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini
Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima
wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee
Benjamin William Mkapa katika picha ya pamoja na wadau wa maendeleo
bnaada ya kuzindua rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya
Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam
leo Mei 13, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima
wa IITA Chief Olesegun Obasanjo wakisiliza maelezo ya tafiti mbalimbali
za mihogo baada ya kuzindua rasmi jengo la sayansi katika kituo cha
Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar
es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na akiangalia katika darubini vimelea vya
magonjwa ya mihogo vilivyo katika sehemu ya utafiti baada ya kuzindua
rasmi rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akiwa na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso E. Lenhardt pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Mhe. Tonia Kandiero
wakati wa uzinduzi rasmi rasmi jengo la sayansi katika kituo cha
Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar
es salaam leo Mei 13, 2013.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment