Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, May 26, 2013

Tetesi:Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu
Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa mh naibu wazir anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa kuwa national examination results kwa matokeo yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa kesho baada ya kukamilika kwa marekebisho ya upangaji mpya wa madaraja.

No comments:

Post a Comment