HILI NI ENEO AMBALO UCHAFU HUWA UNAMWAGWA,LAKINI KUTOLEWA HUCHUKUA MDA
UCHAFU ULIOOZA MPAKA KUTOA HARUFU KALI
HAPO UCHAFU MWINGINE UKIWA UMEFUNIKWA NA TURUBAI
HALI YA ENEO LA MWENGE KARIBU NA KOTA ZA JESHI NI MBAYA SANA KIUSAFI KUTOKANA NA KUZIDIWA NA UCHAFU MWINGI SANA,ENEO HILO HUTUMIKA NA MANISPAA KUWEKA TAKA NA KISHA KUZIONDOA,LAKINI KINYUME NA MATARAJIO UCHAFU UNAOWEKWA ENEO HILO HAUTOLEWI KWA WAKATI,NA KUPELEKEA KUOZA NA KUTOA HARUFU KALI NA KUSABABISHA KERO KWA WATU WA ENEO HILO NA WAPITA NJIA.WAKIONGEA NA MTANDAO HUU WA dj-sek.blogspot.com WATU WA ENEO HILO WAMEPELEKA LAWAMA KWA SERIKALI YA MTAA KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA USAFI KWA MAKINI WA ENEO HILO,KWANI WAMEONGEZA KWA KUSEMA PESA YA USHUHURU HUCHUKULIWA NA HAKUNA UTENDAJI WOWOTE.
WAZIRI JAFO ATAKA HUDUMA KWA WAKATI ZAHANATI YA BWAMA.
-
Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe.
Dkt.Selemani Jafo(Mb) amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
kuhakikisha huduma ya...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment