skip to main |
skip to sidebar
UGOMVI HATARI::MIJIMAMA YAANZISHA VURUGU MAKUMBUSHO BAADA YA KUZIDISHIWA BILI.TAZAMA TUKIO ZIMA HAPA.
HAPA DADA ALIYEZIDISHIWA BILI AKITOA MATUSI
HAHAH KAZI IPO JIMAMA LIKIONDOKA HUKU MWENZIE AKITUKANA
KUNDI LA MAJIMAMA HAYO YAKIWA NA JAZBA TELE
HAPA AKILALAMIKA SANAAAAA ILE SIO BILI YETU HAWATUJUI HAWA EHHH
HEHEHE USIONE MWEMBAMBA ANA SHUGHULI HUYU BALAA
WAKIONDOKA ZAO
KUNDI LA WANAWAKE WASIOPUNGUA 7 WAMEANZISHA UGOMVI ENEO LA MAKUMBUSHO DAR BAADA YA KUDAI KUWA WAMEZIDISHIWA BILI KWENYE IDADI YA VINYWAJI WALIVYOKUNYWA,BAADA YA BILI HIYO KUJA NA KUTAKIWA KULIPA NDIPO WALIPOANZISHA UGOMVI NA KUTUKANA MATUSI YASIYO HIMILIKA.
No comments:
Post a Comment