Raia
watatu wa UAE waliokuwa wamekamatwa wakikuhusishwa na tukio la mlipuko
wa Bomu huko Arusha wameachiwa huru na wamesharejeshwa nchini
mwao...Taarifa
zinadai kwamba, Raia hao hawahusiki na mlipuko wa bomu
hilo.Kilichotokea ni kwamba, siku ya tukio walikuwa karibu na eneo
la kanisa na ndo maana walikamatwa...Raia hao wameachiwa kwa ushirikiano mkubwa wa ubalozi wa UAE na Tanzania
KIONGOZI WA MWENGE AMPONGEZA CHUSA UJENZI WA WODI
-
Na Mwandishi wetu, Mirerani
MWENGE wa uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye wodi ya wanawake na watoto
katika kituo cha afya Mirerani Wilayani Simanjiro M...
10 hours ago


No comments:
Post a Comment