Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, May 18, 2013

WANAWAKE WAKIWEZESHWA NAO WANAWEZA


 Pikipiki ilirukiwa fasta na Mwana mama huyu, wasio mfahamu wengi walimshangaa, alivaa Kofia ngumu kisha akapachika pochi yake anapotaka na kisha akaiwasha. Huu ni usafiri wake anaoumiliki na huutumia mara zote katika mishe mishe zake.
 Safari ikaanza na gia ziilingizwa. mama huyu ni Amaarufu sana Mjini Mtwara
Truuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........nilikuwa naona vumbi tu linatimka na masihara niliyodhani anafanya kumbe ndio alikuwa akiondoka na huo ndio usafiri wake.

No comments:

Post a Comment