Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, May 18, 2013

NHIF YANOGESHA MAONESHO YA HIFADHI KWA UPIMAJI


1 
Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Raphael Mwamoto wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati alipotembelea banda la NHIF ambalo linatoa huduma ya upimaji afya bure na elimu ya Bima ya Afya.
2 
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na kitabu cha mtindo bora wa maisha ambacho kinafundisha namna ya kusihi ili kuepukana na maradhi yasiyoambukiza ambayo yanazidi kuongezeka kila kukicha.
3 
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akifurahi jambo na Ofisa Elimu kwa Umma, Grace Michael alipotembelea banda la Mfuko.
4Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamoto akitoa maelezo kwa Waziri wa Kazi na Ajira, Mama Kabaka na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu ambao pia walipata huduma ya upimaji wa afya zao.

No comments:

Post a Comment