Utajiskiaje
kuona Beyonce akiwa amevaa vazi lililotengenezwa kwa kanga yenye maneno
ya Kiswahili? ‘Wawili Ninyi Yawahusu….’ yanasomekana maandishi kwenye
vazi alilolivaa mwanamuziki wa Marekani, Beyonce Knowles.
Vazi
hili alilolivaa Beyonce kwenye moja ya show zake za tour ya Mrs Carter,
limetengenezwa na mwanamitindo wa Tanzania aishie jijini London
Uingereza, Christine Mhando mwenye brand ya Chichia London.
Chichia London ndio brand iliyo maarufu sana nchini Uingereza kwa
kutengeneza nguo za Kitanzania kwa kutumia Kanga na material mengine
Kiafrika.
Komba: Maadili Yanajenga Imani na Heshima kwa Viongozi
-
DAR ES SALAAM, Juni 18, 2026 – Katibu Msaidizi wa Ofisi ya Rais,
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda Maalum, Bi. Elizabeth
Komba, amewataka ...
34 minutes ago

No comments:
Post a Comment