Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Wilfred Lwakatare
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imekubali kumwachia
Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema),
Wilfred Lwakatare kwa dhamana ya Shilingi Milioni 10 za kitanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Aipongeza TNCC kwa Huduma ya Certificate of
Origin
-
*Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.*
*Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Hamida Mussa Khamis Shuduma, amesema
ameridhishwa na huduma mbalimbali zinazotolewa na...
13 minutes ago


No comments:
Post a Comment