Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 15, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA UKOMBOZI CHA PALESTINA (PLO)


1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Ukombozi cha nchini Palestina (PLO) uliofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana Juni 14, 2013 kwa ajili ya mazungumzo. Picha na OMR 2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Chama cha Ukombozi cha Palestina (PLO), Tayseer Khalid, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini Kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Juni 14, 2013. Picha na OMR 4Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Chama cha Ukombozi cha Palestina (PLO), Tayseer Khalid, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam jana Juni 14, 2013. Kushoto ni Asha-Rose Migiro wa CCM na (kulia) ni Jihad Abu Zneid wa PLO. Picha na OMR
 
5Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Asha-Rose Migiro wa CCM, baada ya mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam jana Juni 14, 2013. Katikati ni Jihad Abu Zneid wa PLO. Picha na OMR 3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Chama cha Ukombozi cha Palestina (PLO), Tayseer Khalid, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam jana Juni 14, 2013. Kushoto ni Asha-Rose Migiro wa CCM na (kulia) ni Jihad Abu Zneid wa PLO. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment