Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wake wa Marais wa Afrika wakati wa hafla ya ukaribisho iliyofanyika
katika ukumbi wa UN Millenium Hotel huko New York nchini Marekani tarehe
11.6.2013. Mama Salma yupo nchini humo kwa ajili ya kupokea tuzo
maalum ya Millenium Development Goals; Women Progress Award. Wengine
katika picha ni Mama Constancia Mangue Nsue de Obiang, Mke wa Rais wa
Equatorial Guinea, Mrs Nana-Fosue Randal, Mwanzilishi na Rais wa Voice
of African Mother’s Inc.akifuatiwa na Mrs Denise Nkurunziza Bucumi na
Mwisho ni Madam Traore Mintou Doucoure, Mke wa Rais wa Mali Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama
Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais wa Mali Madam Traore Mintou
Doucoure wakati wa hafla ya ukaribisho iliyofanyika huko New York tarehe
11.6.2013. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Mwanzilishi na Rais wa
Shirika la Voice of African Mother’s Inc.la nchini Marekani Mrs
Nana-Fosue Randal wakati wa tafrija ya kuwakaribisha wake wa Marais
kutoka barani Afrika watakaotunukiwa tuzo ya Millenium Development Goals
itakayotolewa tarehe 13.6,2013. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na wake wa Marais wa Afrika
wakati wa tafrija ya kuwakaribisha iliyofanyika katika ukumbi wa UN
Milenium Hotel tarehe 11.6.2013. Wengine katika picha ni Mke wa Rais wa
Mali Madam Traore Mintou Doucoure, Mke wa Rais wa Equatorial Guinea
Madam Constancia Mangue Nsue de Obiang na wa mwisho ni Mwanzilishi na
Rais wa Shirika la Voice of African Mother’s Inc la nchini Marekani Mrs
Nana-Fosue Randal. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiingia kwenye tafrija akiongozana na Mke
wa Rais wa Equatorial Guinea Madam Constancia Mangue Nsue de Obiang
MSD YAKABIDHI DAWA NA VIFAA VYA DHARURA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA AJALI
KARIAKOO
-
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi baadhi ya dawa na vifaa
vya dharura kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa ajali ya kuangukiwa na
ghorofa K...
29 minutes ago
No comments:
Post a Comment