MBAYA wa DIVA AWASILI DAR ni The Boss Lady Huddah Monroe kutoka KENYA
Huddah akiwaupdate mashabiki wake wa Twitter baada ya kuwasili Dar
Huddah akiwa na mwenyeji wake, Arthur
wa kampuni ya Unity Entertainment kwenye uwanja wa kimataifa wa Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam
Huddan na Arthur wakielekea kwenye gari kwenda hotelini
Mid Year Bash imeandaliwa na kampuni
ya SK Entertainment kwa kushirikiana na Unity Entertainment. Kiingilio
ni shilingi 20,000 tu
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment