skip to main |
skip to sidebar
MTOTO ALIYEJERUHIWA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA NAYE AFARIKI DUNIA
Mtoto Fahad Jamal alipotembelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk
Emmanuel Nchimbi kwenye chumba cha ICU siku chache zilizopita.Mtoto
Fahad Jamal (7) ambaye hali yake ilikuwa mbaya na kulazwa chumba cha
wagonjwa wanaohitaji uangalizi
maalumu (ICU) katika Hospitali ya Selian
kufuatia kujeruhiwa na bomu katika mkutano wa Chadema Arusha Amefariki dunia
No comments:
Post a Comment