Khadija Omar Kopa akiwa na mumewe Jaffari Ally enzi za uhai wake.
Marehemu
alikuwa anasumbuliwa na matatizo katika mfumo wa upumuaji na mpaka mauti
yanamfika alikuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Bagamoyo.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN.
No comments:
Post a Comment