Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 19, 2013

VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha ulivyotokea - Sehemu ya Kwanza...

Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.source jamii forum

No comments:

Post a Comment