BABA MZAZI WA JOYCE KIRIA .. Michael Francis Iwambo Kiria wa kibosho dakau nganyeni amefariki huko
mkoani Tanga ambako alikuwa akiishi. Kesho ni safari ya kuelekea moshi
kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Ndemanga Aipongeza ADEM kwa Kuandaa Marathon
-
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga, amewapongeza Wakala wa
Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) kwa kuratibu na kushiriki kikamilifu
mbio za marat...
50 minutes ago


No comments:
Post a Comment