![](http://api.ning.com/files/YuM-A62qXs157yD6PvjV2oVsnVVUAUY52ggWLoMxRungKevoyLbyQY-Yi0C0tLz7ozcjLz617NGUlfTUVnebQ4IkVqbswqfO/FORTUNE.jpg?width=650)
Mchezaji
wa zamani wa Manchester United, Atletico Madrid, Bolton Wanderers na
nyinginezo, Quinton Fortune, ambaye kwa sasa anasomea fani ya ualimu wa
soka kwenye Klabu ya Manchester United, leo alitembelea Azam FC Chamazi
kwa mwaliko wa DHL.
Fortune
alishangazwa na ubora wa Center ya Azam FC na kusema hajawahi kuona kitu
kama hiki kinachomilikiwa na klabu hata kwenye nchi yake ya Afrika ya
Kusini.
(Picha na Azam FC)
No comments:
Post a Comment