Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 31, 2013

BONDIA MTANZANIA AMCHAKAZA MTHAILAND.


BONDIA OMARI KIMWERI AKITANGAZWA KUWA MSHINDI KATIKA PAMBANO HILO

BONDIA Omar Kimweri anayefanya shughuli zake nchini Australia amemchakaza Bondia wa Thailand anayejulikana kwa jina la Ekkalak Saenchan katika raundi ya kwanza.
BONDIA OMARI KIMWERI AKIMTUPIA KOMBORA BONDIA WA KITHAILAND

BONDIA OMARI KIMWERI AKIMTUPIA KOMBORA BONDIA WA KITHAILAND

KIMWERI AKIMVIZIA MTHAILAND AMPE MAKONDE MAZITO
Huku kukiwa na wimbi la mabondia wa kitanzania wanaopighwa ovyo wanapojaribu kupambana mapambano nje ya nchi na kufanya m,abondia wa kibongo kuonekana mdebwedo lakini haikuwa hivyo kwa mtanzania huyo.chanzo patapicha blog

No comments:

Post a Comment