Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 24, 2013

GARI LA KAMPUNI YA MAZIWA YA TANGA FRESH LANUSURIKA KUPINDUKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM


SONY DSCWakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa  leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
SONY DSCSONY DSC
Kila siku tunanunua: Ustadhi naye akijipatia maziwa bila kujali yana usalama au hapana..na fullshangwe

SONY DSCSONY DSC
Jeshi la polisi likiwa kwenye eneo la tukio.
SONY DSCKichwa chenye namba za usajili T 787 AFX lilobeba kontena la maziwa likiwa pembeni ya barabara mara baada ya kuacha njia likitokea Mkoani Tanga

No comments:

Post a Comment