Katika kipindi kirefu tokea machafuko nchini misri baada
ya Rais wa zamani kuondolewa madarakani,
Rais wa sasa Mohamed Morsi ametakiwa kuachia madaraka
ifikapo saa 12 ya jioni ya leo saa za afrika
mashariki.....
Hii imetokana na damu kuzidi kumwagika ikiwa
siku ya jana tu mlipuko mwigine umetokea
na kuuwa watu zaidi ya 16 nchini humo.....
Jeshi limemtaka Rais huyo kuachia madaraka haraka iwezekanavyo
kabla aijachukua uamuzi wa nguvu....
akizungumza jana kupitia Chanel ya Ikulu Rais Morsi alisema
''Sintoachia madaraka kamwe mpaka kipindi
changu cha utawala kiishe,sikuwekwa madarakani lakini wananchi
walinichagua wenyewe kwahiyo ntasimama
kwaajili ya Misri siku zote za uhai wangu....!!
Licha ya wananchi wenyewe ni wikii ya pili wanaandamana
kupinga utawala wa nchi hiyo na serikali nzima ya
rais huyo...
Alizidi kuongea akisema ''Hii ni chuki na watu wa serikali ya
muunganiko wanaotaka kuharibu utawala wa
nchi hii,nchi aiwezi perekeshwa kama sawa na kununua na kubadilisha
magari lazima sheria na utawala ufatwe'' alimaliza kusema hivo
Rais huyo wa Misri...!!
Huku Kamanda mkuu wa Jeshi nchini humo akitoa masaa hayo
kwa Rais huyo kuachia madaraka kabla ya
saa kumi ya nchini humo siku ya leo...
Kamanda wa majeshi amesemma''Naomba Rais atoe
ufafanuzi juu ya hili na atambue wananchi wamefikia kikomo
ni muda wa yeye kuachia ngazi na kuijenga misri yenye amani..
''Juzi kati mamilioni yaliandamana kumtaka ajiondoe madarakani
kama wananchi wa nchi hiyo watakavyo...''
Inavyoonekana kama rais akikiuka amri hiyo machafuko zaidi
yanaweza zidi kuendelea kutokea nchini humo..!!
No comments:
Post a Comment