Vice Chancellor wa TEKU
Prof. Dr. Tuli Kassimoto
Huu ni uthbitisho wa
kupokea Fedha hizo leo na sio kama walivyo kuwa wakidai wanafunzi kuwa Chuo
kilitunza Fedha zao katika (Fixed deposit)
Huu ni uthibitisho kutoka
Bodi ya Mikopo wakati walipo anza kufanya malipo kwa ajili ya wanafunzi
.
IMETOLEWA
NA
UTAWALA
CHUO KIKUU CHA TEOFILO
KISANJI
credits: Mbeya Yetu
No comments:
Post a Comment