Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 17, 2013

KALI YA WIKI::WAGONJWA MUHIMBILI WALAZWA NJE ILI KUUA WADUDU TAZAMA PICHA HAPA


 Wagonjwa wakiwa nje huku wengine waipata tiba baada ya kutolewa wodini kupisha upuliziaji wa dawa ya kuua wadudu katika majengo ya Kibasila na Mwaisela Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. PICHA NA MDAU KHAMIS MUSSA






No comments:

Post a Comment