Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 17, 2013

TAZAMA PICHA:: HAWA NDIO MADIWANI WANNE WA CHADEMA WALIOSHINDA ARUSHA NA KUISAMBARATISHA CCM


Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (katikati) akiwa na madiwani wapya wa Chadema waliochaguliwa juzi.
Kutoka kushoto mstari wa mbele ni

Diwani - Jeremiah Mpinga (Elerai),

Diwani - Edmund Kinabo (Themi),

Mbunge - Godbless Lema (Arusha Mjini)

Diwani - Kessy Lewi (Kaloleni)

Diwani - Rayson Ngowi (Kimandolu).

Hawa ndio madiwani wapya waliochaguliwa na wananchi wa Arusha Juzi Jumapili na kuibamiza CCM ukutani bila huruma kisha Naibu Katibu Mkuu Mchemba kulitoroka jiji la Arusha kama Nzee Nkapa alivyotoroka alipokuwa kokoto tu kwa dogo tundu na janja Mbunge Nasari aliposhinda Arumeru Mashariki.


No comments:

Post a Comment