Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kagera, baada ya kufuturu
nao futari ya pamoja aliyoiandaa katika Kiwanda cha Kagera Sugar, jana
Julai 24, 2013. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Kanali Mstaafu, Issa
Njiku (kushoto) ni Mmiliki wa Kiwanda cha Kagera Sugar, Nassor Seif. Baadhi
ya wananchi waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria hafla ya futari
ya pamoja, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akizungumza
nao jana Julai, 24, 2013.
Baadhi
ya wananchi waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria hafla ya futari
ya pamoja, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akizungumza
nao jana Julai, 24, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kagera Sugar, Hashim
Ranner, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari ya pamoja na wananchi wa
Mkoa wa kagera iliyofanyika katika Kiwanda cha Kagera Sugar Wilaya ya
Misenyi jana Julai, 24, 2013. Katikati ni Mmiliki wa Kiwanda hicho,
Nassor Seif.
Baadhi
ya wananchi waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria hafla ya futari
ya pamoja, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akizungumza
nao jana Julai, 24, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkk. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi alioshiriki nao Futari ya pamoja
katika Kiwanda cha Kagera Sugar Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera, baada
ya kumalizika kwa hafla hiyo jana Julai 24, 2013. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment