Kupitia katika account ya facebook ya deejayz mkongwe tanzania anaesimamia radio yabomba fm DJ G LOVER AMEANDIKA "'My Big Bro Anil Nanji Son Saleem Sosa Nanji sign his contract with AB football club in Denmark. Congratulations Son and we wish you all the best. We pray for you to be the best player in Denmark & All over the World ......Much Luv 2u Son... N ablog hii ya burudani mtamtakia mafanikio mema na endelea kuifatia itakupa update zaidi za mchezaji huyu.
CHANZO DJ G LOVER
No comments:
Post a Comment