Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 24, 2013

STAY TUNE::G NAKO KUTOA WIMBO NA MSANII NGULI TANZANIA MZEE KING KIKI TAZAMA PICHA

Mkutano wa rapa G Nako pamoja na Msanii mkongwe wa Muziki, King Kiki studio hivi karibuni, umekuwa ni Dalili nyingine ya Hit kali yenye kuchanganya ladha ya zamani na ya sasa kama vile 'Kama Zamani' ya MwanaFA na WanaNjenje.

Za motomoto kutoka kwa G Nako mwenyewe zinaweka wazi kuwa ni kweli kuna kazi ya pamoja ambayo imefanywa na vichwa kutoka generation tofauti, kwa maana kuwa yeye pamoja na King Kikii wamekwisharekodi ngoma ya pamoja ambayo inakwenda kwa jina 'Utenzi', ngoma ambayo itatoka mapema mwezi ujao. Stay Tuned ma-ninja... :)CREDIT samm misago
King Kikii, G Nako

No comments:

Post a Comment