skip to main |
skip to sidebar
Taarifa ya TRL: Kukosekana kwa huduma ya “Treni ya Jiji” kwa siku mbili
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na wakazi wa jiji kwa jumla kuwa huduma ya treni ya jiji haitokuwepo kwa muda wa siku 2 kuanzia leo Julai 8, 2013 kutokana na hitilafu kubwa katika kichwa kimojawapo cha treni hiyo.
Uamuzi huo unatokana na sababu za kiufundi unaosimamia uendeshaji wa huduma hiyo jijini.
Kwa utaratibu huduma hii huendeshwa kwa kutumia vichwa vya treni vitatu ambapo viwili uhudumia moja kwa moja na cha tatu huwa cha akiba . Kuanzia siku ya Jumamosi ambapo huduma haikuwepo, kichwa .na wavuti
No comments:
Post a Comment