Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 1, 2013

TAZAMA PICHA ZA USIKU WA TUDD THOMAS DAR LIVE ULIVYOFANA!!!!



Chegge akiwadatisha wapenzi wa burudani wa Dar Live katika Usiku wa Tudd Thomas
Izzo B akiongea na Mshua ndani ya Dar Live
Mwanamuziki Marlaw akiwabembeleza mashabiki wa Dar Live
Wanadada kutoka Scorpion Girls, Jini Kabula na Isabela Mpanda wakiwadatisha mashabiki
Linex akisema na mashabiki wake
Akijichanganya na mashabiki

Wasanii mbalimbali wakiwemo Marlaw, Izzo B, Chegge, Tundaman, Mhe. Temba, Amin, Queen Darleen, Quick Lacka,Baghdad, Scorpion Girls, Makomandoo na wengineo usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi ya nguvu katika Tamasha la Usiku wa Prodyuza Tudd Thomas lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo pande za Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment