Mmiliki wa mtandao wa kijamii
Facebook CEO Mark Zuckerberg amejiunga na wafanyakazi wa kampuni yake
waliozidi 700 katika matembezi ya kusherekea maamuzi ya mahakama kuhusu
haki za ndoa ya jinsia moja. Matembezi haya yamefanyika mitaa ya San
Francisco Jumapili Asubuh. Kwa mujibu wa Wall Street Journal asilimia 15 ya wafanyakazi wa facebook.
Sheria hio inayo sherekewa Imeruhusu wanandoa wa jinsia moja kumiliki leseni ya ndoa ndani ya siku 30 baada ya kuoana.
No comments:
Post a Comment