~JE WAJUA KUWA MATANGO NI DAWA?~~~
A/Alleykum;
MATANGO si matunda mageni katika jamii ya Watanzania kwani hulimwa
katika mikoa mbalimbali na mengine kuagizwa kutoka nchi za nje, hivyo
kufanya upatikanaji wake uwe mzuri katika masoko ya ndani.
Matango yana uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali na kwa njia rahisi
isiyokuwa na madhara kwa mtumiaji, pia matibabu yake ni rahisi yenye
kumuwezesha kila mwanajamii kumudu gharama, kwani yamekuwa yakiuzwa kwa
kwa bei nafuu sana.
Baadhi ya madini yanayopatikana katika
matango ni Calcium, Phosphorus, Potassium, Zink, Vitamin B, C na E.
Madini haya ni muhimu sana katika mwili wa binadamu na yanapopungua au
kukosekana mwilini husababisha magonjwa mbalimbali kama magonjwa ya moyo
na saratani.
FAIDA YA TANGO MWILINI:
Madini ya
Potassium yanayopatikana katika matango ndicho chakula cha moyo kwa
sababu huwezesha moyo kupiga mapigo katika hali ya kawaida.
Ulaji wa matunda na vyakula vyenye kiwango kikubwa cha potassium kama
tango ni muhimu sana hasa kwa mtu mwenye tatizo la moyo, shinikizo la
chini la damu. Pia tango linaaminika kupunguza kiwango cha rehemu,
mafuta
yenye madhara mwilini, huimarisha misuli na pia husaidia usagaji wa chakula tumboni hivyo kuondoa tatizo la ukosefu wa choo.
Virutubisho vilivyopo katika tango hutoa nafuu kawa mtu mwenye matatizo
ya ini, kongosho, figo na matatizo katika kibofu cha mkojo.
Watalamu wetu wanatueleza kuwa tango lina kirutubisho kinachojulikana
kama ‘erepsin’ ambacho husaidia uzalishaji wa ‘amino acids’ ambayo ni
muhimu kwa uzalishaji wa protini mwilini.
Vile vile tango lina
kiwango kikubwa cha vitamin C hivyo kuwa na uwezo mkubwa wa kuondoa
matatizo yatokanayo na ukosefu wa vitamin hiyo, kama vile fizi kuvuja
damu, upunguvu wa damu kwa watoto wachanga na kuota meno na mifupa
vibaya.
KINGA YA SARATANI:
Pengine faida kubwa
kuliko zote unazoweza kuzipata kwa kula tango au juisi yake mara kwa
mara ni kinga dhidi ya saratani za aina mbalimbali. Jambo hili
linalotokana na ukweli kuwa tango lina kiwango kikubwa cha uchachu
‘alkaline’, na kufanya seli za saratani kuwa katika mazingira magumu ya
kusambaa mwilini, kwani kwa kawaida seli za saratani
haziwezi kuishi kwenye mazingira zenye uchachu.
Hivyo ni vyema kujijengea mazoea ya kula tango mara kawa mara ili kujiwekea ulinzi na kinga ya saratani za aina mbalimbali.
Dawa ya magaonjwa ya ngozi
Tangu enzi na enzi tango limekuwa likitumika katika masuala ya urembo
wa ngozi. Watu wengi hutumia tango kwa njia mbalimbali kutunza ngozi zao
na kupendezesha sura, hata baadhi ya vipodozi visivyo na madhara
hutengenezwa kutokana na tango.
Ulaji wa tango na unjwaji wa
juisi yake mara kwa mara huondoa matatizo mengi ya ngozi yaliyo ndani na
nje, kama utachukua hatua ya kutumia juisi yake kwa muda wa wiki mbili
hadi tatu mfululizo.
Baada ya matumizi, hakika utakuwa na ngozi nyororo yenye afya kushinda mtu anayetumia vipodozi.
############################## ##############
Cucumber is VERY Alkaline.
Cucumber Juice is EXTREMELY good for your Hair, Skin and Nails. It Really is True.
Cucumber Juice is High In Potassium. Cucumber Juice can Lower Your Blood Pressure.
Cucumber is a wonderful source for Silica. Silica is important for
healthy connective tissue, ligaments, cartilage, muscles, tendons, and
bone.
Cucumber Juice has Molybdenem, Vitamin A, Vitamin C, Manganese, Tryotophan, Magnesium, and Chlorophyll.
Cucumbers are a GREAT way to Cool Down Your Body.
Cucumber is Anti-Cancer in that it is VERY high in Alkaline Minerals and Cancer cannot Live in an Alkaline Body.
Cucumber Juices is also used to heal and cure issues with Acne, Water
Retention, Arthritis, Kidneys, Eczema, Psoriasis, Weight Loss and Hair
Loss.
Cucumber Juice is a useful Anti-Flam agent. Drinking Cucumber Juice can get Your Bodies Inflammation Down.
Cucumber Juice is a Diuretic and therefore has wonderful Cleansing Powers.
In Conclusion, Juicing Cucumbers is a quick way to lead a pain free
live, to Prevent and Reverse Cancer – High Blood Pressure and other
Disease.
A/Alleykum;
MATANGO si matunda mageni katika jamii ya Watanzania kwani hulimwa katika mikoa mbalimbali na mengine kuagizwa kutoka nchi za nje, hivyo kufanya upatikanaji wake uwe mzuri katika masoko ya ndani.
Matango yana uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali na kwa njia rahisi isiyokuwa na madhara kwa mtumiaji, pia matibabu yake ni rahisi yenye kumuwezesha kila mwanajamii kumudu gharama, kwani yamekuwa yakiuzwa kwa kwa bei nafuu sana.
Baadhi ya madini yanayopatikana katika matango ni Calcium, Phosphorus, Potassium, Zink, Vitamin B, C na E. Madini haya ni muhimu sana katika mwili wa binadamu na yanapopungua au kukosekana mwilini husababisha magonjwa mbalimbali kama magonjwa ya moyo na saratani.
FAIDA YA TANGO MWILINI:
Madini ya Potassium yanayopatikana katika matango ndicho chakula cha moyo kwa sababu huwezesha moyo kupiga mapigo katika hali ya kawaida.
Ulaji wa matunda na vyakula vyenye kiwango kikubwa cha potassium kama tango ni muhimu sana hasa kwa mtu mwenye tatizo la moyo, shinikizo la chini la damu. Pia tango linaaminika kupunguza kiwango cha rehemu, mafuta
yenye madhara mwilini, huimarisha misuli na pia husaidia usagaji wa chakula tumboni hivyo kuondoa tatizo la ukosefu wa choo.
Virutubisho vilivyopo katika tango hutoa nafuu kawa mtu mwenye matatizo ya ini, kongosho, figo na matatizo katika kibofu cha mkojo.
Watalamu wetu wanatueleza kuwa tango lina kirutubisho kinachojulikana kama ‘erepsin’ ambacho husaidia uzalishaji wa ‘amino acids’ ambayo ni muhimu kwa uzalishaji wa protini mwilini.
Vile vile tango lina kiwango kikubwa cha vitamin C hivyo kuwa na uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo yatokanayo na ukosefu wa vitamin hiyo, kama vile fizi kuvuja damu, upunguvu wa damu kwa watoto wachanga na kuota meno na mifupa vibaya.
KINGA YA SARATANI:
Pengine faida kubwa kuliko zote unazoweza kuzipata kwa kula tango au juisi yake mara kwa mara ni kinga dhidi ya saratani za aina mbalimbali. Jambo hili linalotokana na ukweli kuwa tango lina kiwango kikubwa cha uchachu ‘alkaline’, na kufanya seli za saratani kuwa katika mazingira magumu ya kusambaa mwilini, kwani kwa kawaida seli za saratani
haziwezi kuishi kwenye mazingira zenye uchachu.
Hivyo ni vyema kujijengea mazoea ya kula tango mara kawa mara ili kujiwekea ulinzi na kinga ya saratani za aina mbalimbali.
Dawa ya magaonjwa ya ngozi
Tangu enzi na enzi tango limekuwa likitumika katika masuala ya urembo wa ngozi. Watu wengi hutumia tango kwa njia mbalimbali kutunza ngozi zao na kupendezesha sura, hata baadhi ya vipodozi visivyo na madhara hutengenezwa kutokana na tango.
Ulaji wa tango na unjwaji wa juisi yake mara kwa mara huondoa matatizo mengi ya ngozi yaliyo ndani na nje, kama utachukua hatua ya kutumia juisi yake kwa muda wa wiki mbili hadi tatu mfululizo.
Baada ya matumizi, hakika utakuwa na ngozi nyororo yenye afya kushinda mtu anayetumia vipodozi.
##############################
Cucumber is VERY Alkaline.
Cucumber Juice is EXTREMELY good for your Hair, Skin and Nails. It Really is True.
Cucumber Juice is High In Potassium. Cucumber Juice can Lower Your Blood Pressure.
Cucumber is a wonderful source for Silica. Silica is important for healthy connective tissue, ligaments, cartilage, muscles, tendons, and bone.
Cucumber Juice has Molybdenem, Vitamin A, Vitamin C, Manganese, Tryotophan, Magnesium, and Chlorophyll.
Cucumbers are a GREAT way to Cool Down Your Body.
Cucumber is Anti-Cancer in that it is VERY high in Alkaline Minerals and Cancer cannot Live in an Alkaline Body.
Cucumber Juices is also used to heal and cure issues with Acne, Water Retention, Arthritis, Kidneys, Eczema, Psoriasis, Weight Loss and Hair Loss.
Cucumber Juice is a useful Anti-Flam agent. Drinking Cucumber Juice can get Your Bodies Inflammation Down.
Cucumber Juice is a Diuretic and therefore has wonderful Cleansing Powers.
In Conclusion, Juicing Cucumbers is a quick way to lead a pain free live, to Prevent and Reverse Cancer – High Blood Pressure and other Disease.
No comments:
Post a Comment