Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, August 25, 2013

Kibali Cha Filamu Ya Lulu' Foolish Age' Kimetoka Kitazame Hiki Hapa



Foolish Age ni kazi mpya kutoka kwa Lulu itakayo tambulishwa na kuzinduliwa Dar es salaam tarehe 30 August 2013 Pale Mlimani City. Palikuwa na taarifa zisizo za ukweli kuwa filamu hii imesimamishwa na haitaonekana. Hizi sio Taarifa za ukweli. Ushaidi ndio huu, Lulu kapata Kibali Cha Kutoa Na Kuonyesha Filamu hii Ya Foolish Age.

No comments:

Post a Comment