Yule
mwanadada mwenye mbuno za kutosha SNURA usiku wajana aliwavuruga wakazi
wa tegeta kwa show kali sana kiasi kila aliekuwepo katika ukumbi huo wa
tegeta alikubali kazi ya huyo dada kazi ilikuwa pale alipotambulisha
wimbo wake mpya wa nimevurugwa kufikia sehemu ya chorus watu wote
walikuwa wanaimba nimevurugwa.alipowamaliza kabisa alipopiga wimbo wa
majanga na tunda man alipoingia kama suprise kumsaport dada yake snura
na goma lake la dem sio swangwe ziliongezeka zakutosha sana.
SNURA,TUNDAMAN
SNURA
TUNDA MAN akiamsha na miuno ya snura live kwenye stage
Ndio yuleyule wa NAI NAI na BAADAEeeee full kaladi ilikuwa hatari sana club 71
mtu mzima anatunza huku mkono......
miuno miuno
mashabiki mbalimbali wakifurahia show ya snura
Mchizi kavurugwa na show ya snurakaamua kukaa chini kabisa duuu
h-MBIZO Akiwakilisha kwenye stage
Mtu mmoko hilali HAKUNAGA alikuwwepo kutoka kariakoo mpaka tegeta kuangalia show ya SNURA
No comments:
Post a Comment