Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 9, 2013

ANGALIA PICHA ZA WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU DSM


Mhadhiri Patrick Rweyongeza enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiwa katika msiba  Mbweni,  jijini Dar es Salaam.

ALIYEKUWA mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,  Patrick Rweyongeza,  na aliyeuawa  na majambazi  juzi Jumatano maeneo ya Magomeni  jijini Dar es Salaam  akitokea  Benki ya NBC Ubungo na kuporwa shilingi milioni tano , anategemewa kusafirishwa kesho kwenda kijiji cha Lunguya, Tabora vijijini kwa mazishi.
PICHA NA MAKONGORO OGING'/ GPL

No comments:

Post a Comment