Bingwa
wa zamani wa dunia, Francois Botha (kushoto) wa Afrika Kusini aliyekuja
kushuhudia pambano hilo akiingia ukumbi wa Maelezo.
Mmarekani Wills naye akipimwa afya ambapo mabondia wote walionekana wako salama kwa ajili ya mpambano huo.
MABONDIA
Francis Cheka na mpinzani wake, Phil Williams wanaotarajiwa kutwangana
kesho Ijumaa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam,
kugombea mkanda wa ubingwa wa dunia wa WBF leo wamepima uzito kwenye
Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Jijini Dar es Salaam.
Mapambano ya utangulizi yatakuwa ni kati ya Thomas Mashali na Mada Mago, Alphonce Mchumiatumbo na Chupaki Chipindi.
PICHA : RICHARD BUKOS / GPL
Mapambano ya utangulizi yatakuwa ni kati ya Thomas Mashali na Mada Mago, Alphonce Mchumiatumbo na Chupaki Chipindi.
PICHA : RICHARD BUKOS / GPL
No comments:
Post a Comment