AMA KWELI MAISHA NI WATU,Leo yamemkuta aloimba mwenyewe.Huyu ndo Vumbe wa K Town aloimba Maisha ni watu.Duuh!! kuna Bonge la Biff kati yake na producer wake STIVE MWEUPE na Kesi ipo Polisi mpaka sasa.CHANZO BABAMZAZI.COM
Soma hapo Chini alichopost Vumbe kwa wall yake face book!!
Vumbe Wa K Town
about an hour ago via mobile
Iko
Hivi:ilikua mwz wa 11 mwaka jana nilienda kwa Stve White na kurecord
winbo wa Maisha ni Watu.baada ya Muda akanambia virus wamekula folder la
huo wimbo so inabid kurudiwa mi nikamwambia poa.siku tuliyopanga kwenda
kurecord nafika studio naambiwa jamaa kasafiri nilipomtafuta hewan
akawa hapatikani mi muda wa kuachia wimbo mpya ulifika.nikaamua kwenda
studio nyingine kurekod sa majuz na shangaa baada ya kupigiwa sim na
mtangazaji wa radio akiniambia bwana nimepokea wimbo wako mpya maisha ni
watu rmx kumuuliza akanambia katumiwa na Steve White..nikampigia sim
Steve hakupokea mi nikamfuata studio kumuuliza kwanini kafanya hivyo?
wakati aliniambia huo wimbo umepotea??Ikawa kosa
pole sana kijana. kila la kheri na kazi yako itafika mbele zaidi. naomba kama unayo ile audio aliyoiba jamaa (maisha ni watu)
ReplyDeletemy email khankhamis@gmail.com