Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 21, 2013

HII KALI::MATANGA KATIKATI YA BARABARA!TAZAMA PICHA


Katika hali isiyo ya kawaida, kamera za GPL zilinasa shughuli hizi ya matanga zikifanyika katikati ya barabara ya Tandale maeneo ya Somanga jijini Dar es Salaam. Tukio hilo lilisababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi wanaotumia barabara hiyo hasa madereva.
Magari yakiwa yamezuia barabara hiyo.
(Picha: Chande Abdallah na Denis Mtima / GPL)

No comments:

Post a Comment