MARIA DAUDI AKILIA KWA UCHUNGU HUKU AKISAIDIWA NA WASAMARIA WEMA NJE YA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM, LENGO LAKE LILIKUWA KUMTAKA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI DKK. SHUKURU KAWAMBWA ATOKE ILI KUMUELEZA SHIDA YAKE, AMBAPO NYUMBA YAKE ILIVUNJWA KUPISHA UJENZI WA WA CHUO CHA AFYA CHA MUHIMBILI (MUHANS) HUKO KIBAMBA –MLONGANZILO,
MARIA akigalagala chini huku Msamalia mwema akijali kusaidia kumuinua
MMOJA wa wananchi hao akionesha moja ya nakala walizokabidhiwa ili kupatiwa malipo yao. MMOJA wa watu wa kundi hilo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
MMOJA wa wananchi hao akionesha moja ya nakala walizokabidhiwa ili kupatiwa malipo yao. MMOJA wa watu wa kundi hilo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
Lakini
hakutaka jina lake litajwe , ”Waziri ameamua kutukimbia wakati anajua
wazi kuwa tumekuja hapa ili atutatuliye kero zetu lakini yeye anaamua
kutokea mlango wa nyuma hivi kweli tunajenga taifa la namna gani kama
waziri mwenye dhamana unaogopa wananchi wako kuwapa ukweli”. Alisikika
akiseme
Mtu
huyo alidai mwezi wa saba mwaka jana walilazimishwa kuvunjiwa nyumba
zao bila kupewa taarifa mapema hatua iliyowafanya kwenda kwa mkuu wa
mkoa ili kupatiwa ufumbuzi wa tatizo lao, lakini mpaka hii leo bado
hawajapatiwa maelezo ya kueleweka zaidi ya kuzungushwa kila kukicha,
“Ndugu
mwandishi sisi kama unavyotuona tuko hapa toka asubuhi , kwanza
tuliambiwa twende wizarani tulipofika huko tukaambiwa waziri hayupo
ameenda katika mkutano huko viwanja vya Gymkana na ndipo tukaamua kuja
kumuona, lakini mpaka sasa hatumuoni huyo waziri”. alisema mtu huyo.
No comments:
Post a Comment