MWANAMKE
mkaazi wa eneo la Sahare jijini Tanga (jina limehifadhiwa) amemtandika
mwanae wa kiume hali iliyopelekea wasamaria wema kuingilia zogo hilo na
kumshika mama huyu ili asiendelee kumuadhibu mtoto huyo.
Kutokana na kipigo hicho mtoto tayri alishaanza kupoteza sauti baada ya kulia kwa mda mrefu lakini cha kushangazamama
huyu alizirai kwa hasira baada ya wasamalia wema hao mara baada ya
kumzuia kabla ya hamu yake ya kumtwanga mwananae haijaisha.
Kwa mujibu wa Mama huyo mara baada ya kuzinduka, wasamalia wema hao
waliangua vicheko kutokana na tukio hilo lililovuta hisia kwa wapita
njia katika eneo hilo.
Baada ya kuzinduka aliuleza umati wa watu waliomzunguka na kutaja sababu
za kumpiga mwanae ni kutokana na kupata malalamiko kutoka kwa jirani
yake kwamba mwanae amempiga mtoto wa jirani huyo jambo ambalo
lilimchukiza mama huyo.
alisema
kuwa adhabu hiyo alichukua ya kumtandika mwanaye ili amfurahishe jirani
yake kuwa yeye huyu anamkanya mwanaye pindi anapoletewa
mashtaka.chanzo http://www.masainyotambofu.com
No comments:
Post a Comment