Kutokana uchunguzi
wetu imefahamika kwa uhakika kuwa, Filamu hii haijasimamishwa ila
imetakiwa kufanyiwa marekebisho baadhi ya sehemu ili kuiweka katika
mahadhi na maadili yanayokubalika na jamii.
Taarifa
zinaweka wazi kuwa, kikwazo kilichoikumba filamu hiyo ni nguo fupi
zilizotumika
katika waigizaji walioshiriki katika filamu hiyo ambayo inasubiriwa kwa
hamu kubwa na mitaa na mpaka sasa juhudi za kuifanyia marekebisho
zimeshaanza ili ratiba za uzinduzi wake ziende kama ilivyopangwa.
Lulu Kaniambia " Filamu Haijafutwa Wala kusimamishwa, ila kuna baadhi ya vipande vinahitaji Marekebisho, Uzinduzi Upo kama kawaida"
Lulu Kaniambia " Filamu Haijafutwa Wala kusimamishwa, ila kuna baadhi ya vipande vinahitaji Marekebisho, Uzinduzi Upo kama kawaida"
No comments:
Post a Comment