Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 9, 2013

MAONI YA WASOMAJI WA MTANDAO WA SKYNEWS JUU YA TUKIO LA RAIA WAWILI WA UINGEREZA WALIOMWAGIWA TINDIKALI MJINI ZANZIBAR JUZI

 
 
 Hizi ni baadhi ya maoni ya wasomaji wa mtandao wa Skynews.com juu ya tukio la wasichana wawili wenye asili ya uingereza waliomwagiwa tindikali katika kisiwa cha Zanzibar juzi.Wengi wao ni Waingereza wameonyeshwa kukerwa na tukio la kinyama dhidi ya raia hao wa uingereza Kwa Habari hiyo ya RAIA WA UINGEREZA KUMWAGIWA TINDIKALI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment