PENZI LA KWELI HALIFI::WATAZAME WASANII LINAH NA AMINI WALICHOFANYA KWENYE TAMASHA LA FIESTA
Wasanii
lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani
wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa
Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu
ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah
waliyependa naye kwenye stage. Tazama picha za namna mambo
yalivyokwenda.
Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani
Amini na Linah
Amini
Cheza Kasino Ufukuzie Ubingwa wa Maisha yako
-
Ukiwa na buku tu Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuongezea mara dufu
Zaidi, kupitia sloti ya Mini Power Roulette inakuhakikishia ushindi wad au
lako m...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment