PICHA: TAZAMA PICHA ZA VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ "NUMBER 1" ALIYOITENGENEZEA AFRIKA KUSINI
Diamond anatarajia kutengeneza tena vichwa vya habari pale
atakapoachia video ya wimbo mpya ‘Number 1′ aliyoshoot mwezi huu nchini
Afrika Kusini. Video hiyo ambayo Diamond anasemekana kutumia zaidi ya
shilingi milioni 50 kuikamilisha, imetengenezwa na kampuni ya Ogopa
Videos ya nchini Kenya. Hizi ni screenshots exclusive tulizozipata.
Madini ya Bati fursa zipo nyingi njooni – Mkopi
-
· Hutumika kwenye mifumo ya kielektroniki ya simu, ndege, vyuma vya reli
· Yaleta ukombozi kwa wananchi Kyerwa
KAGERA
MADINI ya Bati (Tin) yameendel...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment